Dar Joto Sana
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 216
- 413
Ni kweli mara nyingi uwa sio watu ila ni misukule wanaokuja kuinunua pale nyumbani Sengerema kaka .Marekani, Urusi and the like sidhani kama ni watu wa kawaida wale..
Ikulu ya Marekani wanaajiriwa watu tofauti kuanzia wenye vipaji vingi na vikubwa, mpaka watu wanaopata kazi kwa sababu wao au familia zao walichangia sana fedha kwenye kampeni za urais.Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa??
Kwa maana wale jamaa, habari za dunia nzima wanazo, brands zote kubwa duniani ni zao (Google, Microsoft, Meta).
Mambo yanayoendelea katika Ikulu za nchi zote duniani wanajua.
Kuna watu watabisha kuwa Google au Microsoft sio Mali ya Ikulu ya Marekani, but mind you uratibu wa shughuli zote za Marekani mpaka biashara na maisha ya mtu mmoja mmoja hufanyika state house.
State house ikiwa mbovu, tegemea nchi mbovu.
Ni kina nani wanafanya kazi Ikulu za Marekani, Russia na China??
Hakuna mtu wa kawaida White House mkuu. Unataka kuniambia Marekani hawajui kinachoendelea Ikulu ya South Afrika au Brazil.Watu wa kawaida tu na sio kweli kuwa wanafahamu yote duniani
Wangekuwa wanajua kila kitu, September 11 isinge tokea na hata ka - mchezo Ka- Hamas kangezimwa kabla ya kutekelezwa October 7 2023.Hakuna mtu wa kawaida White House mkuu. Unataka kuniambia Marekani hawajui kinachoendelea Ikulu ya South Afrika au Brazil.
Kabla ya Rais wa North Korea kwenda Russia kwa ziara ya kikazi, Marekani alilisema hilo two weeks before.
White House labda kuna aliens mule wanafanya kazi aisee..
Ila wewe jamaa akili yako imejaa illusions sana. Hao ni watu wa kawaida sana tu, hata wewe unaweza kuajiriwa Ikulu. Kuhusu kupata taarifa hilo ni suala la mifumo ya usalama waliyonayo. Ukiwa na mfumo thabiti na imara basi utapata taarifa nyingi na sahihi, na mfumo wako ukiwa dhaifu basi kinyume chakeHakuna mtu wa kawaida White House mkuu. Unataka kuniambia Marekani hawajui kinachoendelea Ikulu ya South Afrika au Brazil.
Kabla ya Rais wa North Korea kwenda Russia kwa ziara ya kikazi, Marekani alilisema hilo two weeks before.
White House labda kuna aliens mule wanafanya kazi aisee..
Hizo ni changamoto ndogo ndogo za kibinadamu/human errorsWangekuwa wanajua kila kitu, September 11 isinge tokea na hata ka - mchezo Ka- Hamas kangezimwa kabla ya kutekelezwa October 7 2023.
Mbona povu jingi mkuu??Ila wewe jamaa akili yako imejaa illusions sana. Hao ni watu wa kawaida sana tu, hata wewe unaweza kuajiriwa Ikulu. Kuhusu kupata taarifa hilo ni suala la mifumo ya usalama waliyonayo. Ukiwa na mfumo thabiti na imara basi utapata taarifa nyingi na sahihi, na mfumo wako ukiwa dhaifu basi kinyume chake
Kutokana na swali la ki layman ulilouliza.Mbona povu jingi mkuu??
Ume nikumbusha karoline leavitt alivyo pata kazi ya kuwa msemaji wa trump.Ikulu ya Marekani wanaajiriwa watu tofauti kuanzia wenye vipaji vingi na vikubwa, mpaka watu wanaopata kazi kwa sababu wao au familia zao walichangia sana fedha kwenye kampeni za urais.
Mfano, Monica Lewinsky alipata kazi Ikulu kwa sababu ya connection ya baba yake aliyekuwa mchangiaji mkubwa kwenye kampeni ya Bill Clinton.
Wengine wanapewa kazi kwa sababu ya kuwa karibu na rais kisiasa kuliko kuwa na uwezo mkubwa sana. Hawa ni political appoinyees.
Pia kuna professionals kama wa ulinzi hupitia mafunzo maalum ya ulinzi wa rais wa Marekani na nyumba yake.
Pia kuna Non-Career Senior Executive Services hao wako chini ya presidential appointees.
Kuna Support Staff kama secretaries, adminisyrative assistant etc.
Kuajiriwa White House unatakiwa kuwa raia wa Marekani, upite background checks na ufikishe matakwa ya viwango vya kazi.