Ni vyuo vipi vinavyotoa Shahada ya Ufugaji Nyuki?

mwaka mmoja au mitatu?

Hiyo ni ada kwa mwaka, alafu acha utani unataka kulipa ada kwa mkupuo wa miaka mitatu mkuu...?
Anyways Hongera kwa kulenga kubaki kufundisha, nenda ukapige msuli wa maana na MUNGU atakusaidia kutimiza ndoto yako. Kila la heri.
 
ahahaha,sawa mkuu!nataka nipige diploma ya beekeeping,halafu nipige jiwe ili niwe mkufunzi ngazi ya diploma na certificate
 
Halafu ulisema SHAHADA (DEGREE) kumbe unataka kusoma STASHAHADA (DIPLOMA). Stashahada nenda kapigie unyamwezini Tabora mkuu.
 
mkuu,kile cha tabora najua kipo japo sijawahi kufika!vipi ushawahi kukiona?mazingira yake yakoje?
 
Hapana, hua nakisikiaga tu sijawahi kukiona, ila nadhani ni sehemu nzuri, mimi niko kada nyingine mbali na hiyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…