Dr Adinan
Member
- Jul 11, 2021
- 14
- 22
Hongera siwezi kuiacha. Umeefanya kazi kubwa mpaka kuchaguliwa kusomea kozi za afya. Kozi ya afya yeyote ni nzuri na itakuwezesha kufanya vitu vingi hapa maishani ukiacha ukweli kwamba fani za afya bado zina HESHIMA kubwa mbele ya jamii na kuhitajika.
Baada ya hongera, nina habari nzuri kwako! Habari hii itaweza kukusaidia kusoma kwa raha kwa kuwa utaweza kupata vifaatiba bora muhimu kwa masomo yako. Habari hii inalengo la kuua ndege watatu kwa jiwe moja. Nafahamu ushazoea ndege wawili.
Lengo la kwanza ni kukusaidia kuwa mtaalamu bora wa afya, lengo la pili ni kukuepusha kutapeliwa unaponunua vifaa na lengo la tatu ni kukuwezesha kuchagua kwa uhakika vifaa vyako vya mafunzo hata kama una upungufu. wa pesa kwa sasa.
Kuwa bora katika kitu chochote kina uhusiano wa moja kwa moja na utendeaji wa kazi ile, kufanya mazoezi...fani za afya ni kozi zinazofundishwa kwa vitendo. Hivyo unahitaji nawe kujiweka tayari kwa kuweza kufanya vitendo hivyo. Practice.
Hapa namzungumzia kumpima mgonjwa. Itakubidi uwe unafanya mazoezi mwenyewe kwa kujituma haswa muda wa ziada. HIvyo unahitaji kuwa na vifaa vyako vya mafunzo.
Lakini uwe na vifaa vipi vya mafunzo? Kabla ya kukuambia utumie aina gani ya vipimo, ningependa kwanza kuisistiza ubora wa vipimo. Kumbuka majibu unayoyapata kwenye vipimo ndivyo unavyojifunza. Kwamfano, utajifunza aina za sauti ya mapafu na moyo kama tuu stethoscope yako itakuwa inadaka sauti vile vile ilivyotolewa na viungo hivi bila kubadilisha ubora. Hivyo sisitiza sana ubora.
Kitu cha pili cha msingi ni aina. Uwe na aina gani ya vifaa?
Aina za Vifaa Vya Mafunzo Na Matumizi Yake
Vifaa utakavyohitaji ni kwa ajili ya kumpa huduma mteja (Mgonjwa) ikiwamo kumfanyia vipimo kadhaa (physical examination). Vipimo hivi ni kwa mifumo mbalimbali ya binadamu.
Vifaa hivi nimeviweka katika kozi husika. Mfano Goniometer hutumiwa na wanafunzi wanaosomea fani ya physiotherapy.
Majibu ya hili swali yako ya aina mbili, lakini kama swali ni je vifaa gani naweza kuanza navyo na nikafanya mafunzo kwa ufaninisi
Nitakujibu kama ifuatavyo. Kwanza inahitaji ufahamu wa ratiba ya chuo chako au kundi lako kama mmegawanywa kwenye makundi. Kwasababu vifaa vingine huitajika zaidi katika idara fulani.
Licha kuwa navyo vyote ni muhimu zaidi, lakini ikibidi, kwa uzoefu wangu, unaweza kuanza na vifaa vipi bila kuathiri mafunzo yako.Ukiwa na vifaa saba (7) unaweza kufanya vizuri.
Vifaa hivi ni
Kama kawaida nitafurahi ukinipatia maoni yako. Ni rafiki yako,
Dr. Adinan J.
CEO AFYATech

- ๐๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฆ๐๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐ฎ: BP Machine, Stethoscope & Torniquet โ utampima mgonjwa presha ya damu (BP Machine), na mwenendo wa moyo (Stethoscope). Kwasababu utakuwa unachukuwa sampuli za damu kwa ajili ya uchunguzi, utahitaji torniquet.
- ๐๐๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐ ๐ก๐๐ฐ๐ (๐ซ๐๐ฌ๐ฉ๐ข๐ซ๐๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ ๐ฌ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐๐ฆ)-Stethoscope & Pulse Oximeter: utampima mgonjwa mapafu (kwa kusikiliza hewa inavyoingia)- (Stethoscope), kiwango cha oxygen kwenye mwili (Pulse oximeter).
- ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ฉ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ (๐ง๐๐ฎ๐ซ๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ข๐๐๐ฅ ๐ฌ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐๐ฆ)- Reflex/Patella hammer, Monofilament, Tuning fork, Pen torch: utimilifu wa mishipa ya fahamu kwa kupima kama mteja wako anahisi (Monofilament), anaona (Snellen chart), anasikia (Tuning fork) ikiwemo kuitikia vichocheo (Patella hammer). Pia namna ambavyo jicho linaitikia linapomulikwa (pen torch)
- ๐๐ข๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐ฆ๐ฃ๐๐ฆ๐ณ๐ข๐ญ๐จ โ Gestation wheel, Tape measure, Fetoscope: Utahitaji kupima umri wa ujauzito pamoja na kuweza kukadiria tarehe ya kujifungua (Gestation wheel & Tape measure). Na kama mtoto kwenye kizazi amekuwa, unaweza kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto (Fetoscope).
- ๐๐ข๐๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐จ, ๐ฉ๐ฎ๐ ๐ง๐ ๐ค๐จ๐จโ Otoscope: Utatumia otoscope kuchunguza sikio.
- ๐๐ข๐๐๐ ๐ค๐ข๐ง๐ ๐-Theatre goggles: Tukumbuke kwamba wewe utafanya kazi kama mtoa huduma wa afya, ispokuwa tu ni mwanafunzi. Si tu utashiriki kwenye majadiliano ya kitabibu ispokuwa utahudhuria na kusaidia upasuaji na kuzalisha. Utahitaji vifaa ambavyo vitakuzuia na hatari ya maambukizi ya magonjwa mbalimbali kutokana na majimaji / damu kukurukia na kuingia machoni (theatre goggles). Kulingana na kozi, utahitaji medical coat (mfano kozi za medicine) au apron (uuguzi).
- ๐๐ข๐๐๐ ๐ฏ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐-Tape measure, MAUC Tape: vya kupima urefu, upana na mzunguko kwa mfano wa uvimbe (tape measure). Na wakati unataka kuchunguza hali ya lishe ya mtoto mdogo, utahitaji MUAC tape.
Vifaa hivi nimeviweka katika kozi husika. Mfano Goniometer hutumiwa na wanafunzi wanaosomea fani ya physiotherapy.
Siwezi Kununua Vifaa Vyote Kwa Wakati Mmoja: Je, Nianze na Vifaa Vipi?
Hili swali ni MUHIMU kujiuliza kwa kuwa wakati mwenignie tunapata changamoto za kifedha hivyo kutokuweza kununua vifaa vyote kwa pamoja.Majibu ya hili swali yako ya aina mbili, lakini kama swali ni je vifaa gani naweza kuanza navyo na nikafanya mafunzo kwa ufaninisi
Nitakujibu kama ifuatavyo. Kwanza inahitaji ufahamu wa ratiba ya chuo chako au kundi lako kama mmegawanywa kwenye makundi. Kwasababu vifaa vingine huitajika zaidi katika idara fulani.
Licha kuwa navyo vyote ni muhimu zaidi, lakini ikibidi, kwa uzoefu wangu, unaweza kuanza na vifaa vipi bila kuathiri mafunzo yako.Ukiwa na vifaa saba (7) unaweza kufanya vizuri.
Vifaa hivi ni
- BP Machine;
- Stethoscope;
- Thermometer;
- Tape measure;
- Theatre goggles;
- Patella hammer
- Pen torch
Kama kawaida nitafurahi ukinipatia maoni yako. Ni rafiki yako,
Dr. Adinan J.
CEO AFYATech