Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 311
- 383
Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande!
Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi waliochaguliwa na watu kwa kura kama vile madiwani, wabunge, na Rais. Wengine ni mahakimu ma mawakili.
Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi waliochaguliwa na watu kwa kura kama vile madiwani, wabunge, na Rais. Wengine ni mahakimu ma mawakili.