Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Feb 6, 2022
572
1,384
Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia!

Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki,
Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma)

Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia.

Pamoja na ulinzi mwingine mkubwa unaotumika kumlinda papa!
Sura ya papa ni miongoni mwa sehemu inayorahisisha ulinzi wake binafsi pamoja na faida zingine za siri za kuiongoza dunia.

Ni kweli utaratibu wa kumteua papa unafanyika kwa siri kupitia makadinali kutoka duniani kote kwa kura za siri.
Lakini katika usiri huo una siri nyingine ndani yake!

Kama ingekuwa ni rahisi kama wengi wanavyoamini basi ingekuwa ishatokea siku akateuliwa mwenye magengeza au alama yoyote usoni au hata sura binafsi!

Mtakumbuka mfano Rais wa urusi kuna mazingira tata alionekana na sura kama siyo yeye upande mwingine wakiamini ni yeye!

Sura inayofanana huwa inafaida katika mazingira maalum ya mpito katika utawala wa viongozi wakuu wa kidunia!

Kuna matamko hutolewa tukiamini ni wao kumbe yanatoka kwenye copy image ya viongozi husika katika kazi maalum za kiutawala.

Sura binafsi utaitoaje copy kwa kuifananisha na mwingine? Jibu ni haiwezekani!

Hivyo si rahisi kumpata papa mwenye sura binafsi (personal)
 
Hizi nazo ni pumba tu. Pelekea nguruwe wakale
 
Hebu endelea kufanunua Mkuu,sijakulewa!
 
Hii si ni Nafasi ya Dini!Sasa unaingiaje ghafla bila kuwa mshiriki wa Dini hiyo kwa kuijua Imani na miongozo yake!Markadinali ndio wazoefu.
Uzoefu pekee hautoshi hadi uwe umeandaliwa kukalia hiko kiti kikubwa cha kifalme!

Ingekuwa ni uzoefu basi makadinali wote wameiva kwa uzoevu na wamebobea wangekaa kwa zamu
 
Back
Top Bottom