Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,386
Miongoni wa kundi linalokula keki ya Taifa kwa mrija bila kujali umaskini wa Wananchi ambao ni wapiga kura ni hawa wabunge wa bunge letu.
Wabunge wetu wamekuwa Wanalipwa posho, mikopo ya magari, Fedha za Mfuko Mbunge na mishahara. Fedha zote hizo ni mamiliini ya Shillingi fedha ambazo ni kodi za maskini wapiga kura.
Je, ni vigezo gani vinavyopelekea wabunge kulipwa hayo mamilioni Je ni Elimu yao? Je, ni Ugumu wa kazi zao? au wanajipendelea ili kujipa mamilioni ya fedha wakati wananchi ni maskini wa kutupwa?