Ni utaratibu gani wa kufuata ili kubadili tahasusi(combination) kwa mwanafunzi aliyepangiwa kombi asiyoitaka?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
3,085
5,417
Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa.

Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni haya


Geography C
Biology B
Civics C
Mathematics C
Physics D
English B
Chemistry C
History C
Kiswahili A

Div one ya 17

Cha kusikitisha dogo amechaguliwa combination ya HKL hivi kweli jamani it sounds kweli?

Nimekuja hapa kuuliza ni process gani zinapaswa kufuata ili dogo huyu apate combi anayoitaka? Dogo alitamani asome PCB lkn kwa sababu hawakumchagua kwa combi hyo ( labda kwa sababu cut points hazijatimia). Basi anatamani apate hata EGM au HGE

Dogo ananiambi "bro yani pamoja na struggle zangu zote tena shule ya kata naona kabjsa ndoto zangi zinafifia please naomba unisaidie"

Msaada wa haraka ndugu zangu
 
Back
Top Bottom