Nimepata shida sana jinsi wanaotuumiwa na dawa za kulevya kupata wito wa kwenda kituo cha polisi kupitia vyombo vya habari. Je polisi unao utaratibu huo siku hizi wa kutumia vyombo vya habari? Je kama huyo anayetuumiwa hakupata wito huo kwa njia ya vyombo vya habari inakuwaje hapo? Wanaojua sheria watujuze. kwa maana kwangu naona hata mahakama wakimuhitaji mtu wanatoa wito wa kimaandishi ili afike mahakamani pia hata polisi