Ni unafiki kuhudhuria Misibani

Kiplayer

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,164
1,935
Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
 
Hakuna ubaya kucheza karata ila kuna Ile jamaa anakuambia ngoja nikaonekane msibani
 
Zamani nilikuwa nakwenda sna misiba na kuuzika watu Kama ,kushika chepe ,kuweka udongo na kadhali na watu wananikubali San kwamab najitoa kwenye misiba Sana

Sasa baada ya kugonga 30 hata msiba ukitokea jirani tu siwezi kwenda na nitajifungia ndani tu Ila Michango natoa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Halafu wanamwambia marehemu eti apumzike kwa amani. Hee kama kaburini kuna amani kwanini hamuendi kupumzika nae
 
Back
Top Bottom