Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,595
- 22,508
Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema?
au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi?
na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa,
kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake wana nawagawanya wanachama hao wachache.
Je, kwa zile kazi zingine nzito zaidi mathalani, kuongoza nchi na kuwaunganisha waTanzania, hawa wangwana wanaweza kuifanya kweli? au hizi ndizo dalili wazi za kuivuruga na kupasua nchi, na waTanzania wanapaswa kuwapima nazo?🐒
Mungu Ibariki Tanzanai