Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Mi niliona insta wolper alirepost kutoka kwa mh lowasa kuwa anayashukuru hayo mashirika ya kidini 1200,nikajiuliza hayana connection na tb Joshua kweli?
Kuna taarifa iliyotolewa na vyombo mbalimbali wiki iliyopita kwamba aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama ukawa.
Amepongezwa kwa kudumisha amani ni jambo jema sana kwa kiongozi wetu huyu kupongezwa na taasisi hizo.
Sasa nilitaka ni taasisi gani na za nchi gani ambazo zilimpongeza maana sikuona majina ya taasisi wala nchi zinakotoka zilizompongeza
Maaskofu wa baadhi ya vijikanisa ambavyo havisajiliwa ktk Kongo, hawa waliunganishwa na Gwajima nao wakatafuta maaskofu wenzao wa vijikanisa vyao feki na kutoa hilo, usijali yote haya kwa ajili fisadi Lowasa anataka kubakia relevant tu hakuna kingine!
We ulitakajeGumzo la kupotezea siku.