Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,917
Huyu Mzee Ali. M. Kibao aliwahi kuwa Mwanajeshi kwa nafasi yenye hadhi kiasi flani. Hakuwa mtu wa mitandao sana. Huwezi msikia akipinga jambo la Serikali au kukemea. Alikuwa silent sana.
Na utekaji wake si kwamba alitafutwa atekwe tu auawe randomly. Hapana. Ni mkakati ambao unaweza kuta hata mle ndani walikuwepo watu kadhaa wakifuatilia nyendo zake.
Ni kwamba alikuwa kwenye list ya wahusika ambao walipata taarifa ambazo zikawafanya watake taarifa zaidi kwa mhusika. Kwa nini?
Ndo sababu ya kumtesa wakitaka kupata taarifa hizo. Aseme kwa kiwango ambacho walihitaji. Na baada ya kukamilisha waliona ni bora wapoteze ushahidi. Amwagiwe tindikali usoni asitambulike.
Kisha tungepata taarifa polisi imeokotwa maiti ya mtu ambaye ni jambazi, alifumaniwa, alienda kwa mganga au mfanyabiashara aliyekuwa na maadui. WATACHUNGUZA ZAIDI. Period.
Lakini Mungu ana namna ya kuwafichua waovu. Kama ambavyo alitekwa yule bwana mdogo ambaye alipigwa risasi kichwani wakamwacha afe. HAKUFA. HE LIVED TO TELL.
Huyu mzee Mungu tu alitaka kuwafunua macho na masikio Watanzania. Kuwa waamke. Maana mtu akipona wanasahau haraka. Labda akifa watashtuka.
Sasa hatujui nini kilikuwa kinatafutwa. Lakini who is next? Na shida ni nini exactly?