mis lemich JF-Expert Member Jan 25, 2017 207 176 Jan 28, 2017 #1 Habari ... Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
Habari ... Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,644 44,289 Jan 31, 2017 #3 Umeachika?! Mtt anaweza kwenda kuishi na baba yake kama ametimiza miaka 7 chini ya hapo anakuwa katika uangalizi wa mama
Umeachika?! Mtt anaweza kwenda kuishi na baba yake kama ametimiza miaka 7 chini ya hapo anakuwa katika uangalizi wa mama
krava JF-Expert Member Nov 17, 2016 225 287 Feb 4, 2017 #4 Mwenye Mwenye kujua zaidi aseme je wakina wadada wanaowatelekeza watoto wao wa umri wa 3yrs kwa wa zamani sheria ikoje
Mwenye Mwenye kujua zaidi aseme je wakina wadada wanaowatelekeza watoto wao wa umri wa 3yrs kwa wa zamani sheria ikoje
Amos Enock Member Jul 3, 2012 56 13 Feb 7, 2017 #6 Sheria ya mtoto ya 2009 chini ya miaka 7atakaa kwa mama