Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 5,827
- 11,836
Kheri Kwenu mabibi na mabwana.
Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa.
Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako.
Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi
Then mama yake anamwambia mtoto kuwa huyu sio baba Yako mzazi asee inauma sana ukijiuliza uliwekeza na ulitoka ghara kubwa.
Kipindi hicho chote baba yake Hana habari anakula Bata na wewe unajinyima Ili usomeshe BAO la mwanaume mwenzio hii inauma mnoo.
Sasa swali linakuja Hivi.
Ni sawa kabisa una mashaka kuwa huenda huyu sio mtoto wako unachukua maamzi ya kwenda kupima DNA na unafanikiwa kupima na kupewa majibu yakuwa mtoto sio wako.
Je utachukua maamzi Gani? Utatimua mama na mtoto ama utatimua mtoto pekee yake?
Karibuni sana