chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 17,638
- 28,869
Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.