Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,053
- 4,783
Mikataba yote Tanzania ya kimataifa wanatuwakilisha watumishi wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Mshauri Mkuu wa serikali kuhusu kuvunja mikataba hiyo ni Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Wanaotuwakilisha katika mahakama za kimataifa katika kesi tunazoshtakiwa nazo ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Wanaotetea hoja baada ya serikali kushindwa kesi hizo ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Wanaoeleza kwa public na bunge mapungufu ya mikataba ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Wanaoshauri wanaopinga mikataba hiyo wachukuliwe hatua za kisheria ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Wanaopaswa kuchukua hatua pale walioingia mikataba mibovu wanapobainika ni ofisi zilizopo wizara ya katiba na sheria
Kwa kifupi wizara ya katiba na sheria ndiyo yenye dhamana nzima ya mikataba ya nchi yetu..
Je, huu muundo unatija kwa rasilimali za nchi kimikataba? Haiwezi kuwa sehemu ya watumishi kuchukua fedha za kuingia mikataba wakaingiza nchi kichakani, then wanashauri kuvunjwa mikataba na wakaandaa timu yao kwenda kula Bata nje na baadaye fidia inapotoka wakapata mgawo? Kwanini hakuna kesi inayofunguliwa kwa wanaosababisha mikataba mibovu?