Ni sababu ipi Wakenya wanaikubali SGR ya Tanzania?

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
681
1,300
Wakuu niende kwenye hoja direct sipendagi mambo mengi.

Wakati huu ambao Wakenya asilimia 73% wa raia wake wanafanya majaribio kuondoa uchafu serikalini sote macho na Media zote ziko Jamhuri yawatu wa Kenya.

Nilikutana na watu kadhaa wakiisifu sana sgr yet. Niseme tu asanteni wasimamizi wa mradi. Hongera mama

Je ya kenya inashida gani?
 
Walikujua kwamba wa Tanzania wanapenda sana sifa, ndo maana walisema kikufurahisha tu.
 
Handa mwendo kasi tulisifiwa lakini tumishiwa kubaya..Shida ni usimamizi
 
Wakuu niende kwenye hoja direct sipendagi mambo mengi.

Wakati huu ambao wakenya asilimia 73% wa raia wake wanafanya majaribio kuondoa uchafu serikalini sote macho na Media zote ziko Jamhuri yawatu wa Kenya.

Nilikutana na watu kadhaa wakiisifu sana sgr yet. Niseme tu asanteni wasimamizi wa mradi. Hongera mama

Je ya kenya inashida gani?
Hio SGR yetu imejengwa kwa mikopo ambayo tutalipa hadi tufe na Watoto wetu watalipa pia. Mbaya zaidi sioni ikijiendesha kwa faida hata angalau ipatikane pesa ya kulipa Madeni, naona tukipandishiwa kodi kulipa deni. Sioni cha kushangilia hapa.Ngojea Dini liive tutakoma.
 
Back
Top Bottom