Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,150
- 1,607
Alcohol iko ngapi?St. Anna 15k
Bia alcohol 5Alcohol iko ngapi?
4.0Alcohol iko ngapi?
Zile zenye carbohydrate sizipendiBia alcohol 5
Oya huyu kisungura hakiwezi bado mteke mtekeVinywaji vyenye alcohol ndogo ni bia. Ambazo ni gharama sana.
Vinywaji ambavyo havina gharama ni jamii ya kisungura, smart gin ama double kick ambavyo ndio vina alcohol nyingi
Zenye alcohol nyingi naviogopa vitanizehesha mapema.Vinywaji vyenye alcohol ndogo ni bia. Ambazo ni gharama sana.
Vinywaji ambavyo havina gharama ni jamii ya kisungura, smart gin ama double kick ambavyo ndio vina alcohol nyingi
Hapana hiyo.Gongo
Kichwa imegota imezongwa na matatizo nawaza sana mpaka nakonda.Achana na kunywA
Nenda sehemu ambayo kuna hewa ya kutosha kapunge upepo
kwa afya ya figo zake nashauri asinywe hizo! zitamuumiza zitamfanye aonekane kama mzee!!.Vinywaji vyenye alcohol ndogo ni bia. Ambazo ni gharama sana.
Vinywaji ambavyo havina gharama ni jamii ya kisungura, smart gin ama double kick ambebavyo ndio vina alcohol nyingi
Pombe si suluhisho la maisha magumuHabari zenu.
Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana. Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo?
Nawaza sana maisha mpaka nakonda na ninakula. Nimeambiwa nikinywa nitapata ahueni ya kuwaza sana.
Nielekezeni.