comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
mkuu ungejieleza vizuri wewe ni mtu gani wa uwezo gani ili tujue tunaongeaje na tunasaidianaje. elimu yako , umri wako na mahala ulipo na jinsia pia. hiyo ingesaidia tujue tunakupa mchongo gani maana michongo ipo mingi sanaAlhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa
Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA umri mdogo au mkubwa lakini ombi langu ni kuwa kama mwenzetu umeshafaniki tunakuomba usumbuke tu dakika tano kutujulisha hata kwa ufupi ni mbinu gani au biashara gani iliyokuweka hapo mjini au inakufanya uzidi kupata Uhuru Wa matumizi ya Pesa tusaidie sisi ambao bado hatujui ni fursa gani au Biashara gani tufanye ili itusaidie kujikwamua kiuchumi tusaidie ndugu maana unaposaidia Na mwenyezi mungu aonaye sirini atakujazi
Nilikuwa nakula mlo mmoja kwa miezi mitanoAlhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa
Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA umri mdogo au mkubwa lakini ombi langu ni kuwa kama mwenzetu umeshafaniki tunakuomba usumbuke tu dakika tano kutujulisha hata kwa ufupi ni mbinu gani au biashara gani iliyokuweka hapo mjini au inakufanya uzidi kupata Uhuru Wa matumizi ya Pesa tusaidie sisi ambao bado hatujui ni fursa gani au Biashara gani tufanye ili itusaidie kujikwamua kiuchumi tusaidie ndugu maana unaposaidia Na mwenyezi mungu aonaye sirini atakujazi
mie ni majasiriamali mdogo sana kipato changu kwa mwezi hakizidi 400000 lakini pia ni mwalim niliyesitishiwa ajira ko nilitaka kwa watu kama ninyi wenye moyo Wa kusaidiana mnisaidie ni namna gani nikawa Na kipato endelevu yaani shughuli ambayo ni permanent Na sio temporary kama ilivyo sasa nitashukuru kupata msaada wako hata kwa kuku pm for more infomkuu ungejieleza vizuri wewe ni mtu gani wa uwezo gani ili tujue tunaongeaje na tunasaidianaje. elimu yako , umri wako na mahala ulipo na jinsia pia. hiyo ingesaidia tujue tunakupa mchongo gani maana michongo ipo mingi sana
mkuu pole sana kwa kusitishiwa ajira. na je upo mkoa gani hapa Tanzania?mie ni majasiriamali mdogo sana kipato changu kwa mwezi hakizidi 400000 lakini pia ni mwalim niliyesitishiwa ajira ko nilitaka kwa watu kama ninyi wenye moyo Wa kusaidiana mnisaidie ni namna gani nikawa Na kipato endelevu yaani shughuli ambayo ni permanent Na sio temporary kama ilivyo sasa nitashukuru kupata msaada wako hata kwa kuku pm for more info
Niko mkoani huku mkuumkuu pole sana kwa kusitishiwa ajira. na je upo mkoa gani hapa Tanzania?
Habari mkuu biashara hiyo ya bequettes inahusiana na nini?mkuu fanya biashara ya bequettes. inalipa sana. kwa maelezo zaidi nitafute
ufagaji ulikuwa wapi mjini au shambani kijijini??Nguruwe ndio walionipa pesa,nilianza na nguruwe 15 tu.after 3yrs niliingia mil 105 tu...lakini 2012 nikasitisha ufugaji but 2019 nataka nirudi tena katika ufugaji wa kuku kienyeji na nguruwe.. kikubwa kuwa mvumilivu tu ujitoe kimwili na kiroho,yatupasa kumuomba Mungu kwa kila jambo
kuna msemo:ni heri ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuona ufalme aa mbingu.Alhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa
Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA umri mdogo au mkubwa lakini ombi langu ni kuwa kama mwenzetu umeshafaniki tunakuomba usumbuke tu dakika tano kutujulisha hata kwa ufupi ni mbinu gani au biashara gani iliyokuweka hapo mjini au inakufanya uzidi kupata Uhuru Wa matumizi ya Pesa tusaidie sisi ambao bado hatujui ni fursa gani au Biashara gani tufanye ili itusaidie kujikwamua kiuchumi tusaidie ndugu maana unaposaidia Na mwenyezi mungu aonaye sirini atakujazi
nilianza kufuga mbezi lakini baadae kutokana na ufinyu wa ardhi na malalamiko ya watu nikaenda kufuga shambani kwangu mlandizi wilaya ya kibahaufagaji ulikuwa wapi mjini au shambani kijijini??