Wanawake ni viumbe tata! Wanabadilika kila Leo! Ukikariri kuwa ulivyomfanyia akafurahi usidhani ukirudia atafurahiu kama wakati ule! Kila siku lazima ufanye utundu wa kugunduae kitu au mahali utakapomkuna zaidi! Hii ni kwenye nyanja zote kuanzia sebuleni, jikoni, bafuni, chumbani, mpaka aina ya utani na outing!