Leo nilikua napitia mtandao nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Na fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua.
Hii inapelekea wakopaji kujikuta wanalipa fedha nyingi kuliko walichokopa sababu tu ya baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu wa Bank hizo.
Tazama habari katika link hii 👇🏿
Hapa nchini kwetu kuna habari ya Mfanyabishara kuidai Bank ya Exim na ilishindwa kumlipa na kupelekea Mahakama kuamuru kuuza mali za Bank ili kufidia Deni lake
Tazama link hapo chini 👇🏿
Huu mchezo umekua ukishamiri katika Mabenk mengi na kupelekea wafanyabishara wengi kufilisika. Kuna Taarifa wafanyabiashara kadhaa wapo katika Mkwamo ws kiuchumi kupitia Bank hii iliyofanya Fraud Uganda na kila wakijaribu kuifikia Mamlaka wanakwama sababu inaonekana hii Bank ina vigogo nyuma yake. BOT na Wizara ya Fedha nendeni kaitazameni Bank ya Equity kabla ya kutokea yaliyotokea Uganda na kwingineko.
Yapp malalamiko ya wafanyabiashara kuongezewa Interest katika Mikopo yao na lengo ni kufilisiwa ambapo watumishi wasio waaminifu na wasio na maadili ya kazi hushiriki kuhakikisha Mteja anashindwa kulipa Mkopo kutokana na mazingira magumu wanayomuwekea ili wauze mali zao kwa maana kuna Interest katika kuuza mali maana wengi wao wana mahusiano na kampuni za Minada.
Serikali yetu Sikivu, Tupieni jicho eneo hilo muhimu ili kuboresha Uchumi wa Watanzania.
Hii imenifikirisha

Former Equity boss linked to bank fraud arrested in Uganda
Kenneth Onyango was Equity Bank's Executive Director for Commercial Banking.
www.google.com