Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni.
Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa Mpalange, Mlugaluga, , na mengineyo ili kupunguza kujieleza utumiapo hii misamiati.
Kwasisi ambao lugha yetu ya pili ya Taifa ni asili ya Falme za Kiingereza, inayojulikana kama English.
Wenzetu huwa kila mwaka wanaingiza misamiati mipya inayoendana na wakati
Lugha
Huzaliwa
Hukua
Hushamiri
Huzeeka
Hufa..
Hi lugha na kuishamirisha ni ongezeko jipya la misamiati iliyotoholewa toka lugha zingine na uwekezaji kwenye kupanua mipaka ya matumizi yake
Likiingizwa kuwa rasmi kama **** tutaacha kulitumia kwa uwazi, litakuwa ni neno kali kama ilivyo kwa neno ****. Mbususu ni neno la kupunguza makali ya neno ****