Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,579
- 103,323
Nimefikiria sana kuhusu muarobaini wa NHIF, nimeangalia mradi wa mabasi Udart nimeangalia bandari nimepata conclusion sisi tuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria.
Ukianza kufuatilia vitu sensitive kama huduma za afya utagunduwa NHIF imeshashindwa majukumu yake na solution pekee ni kuifanyia overhaul tu, watumishi wengine serikali iwaondoe kabisa itafute pa kuwapachika lakini wasiachwe NHIF.
Lazima tukubaliane baada ya Mungu ni mzungu, waletwe wazungu hapo watufundishe maana ya afya za watu ni nini?