Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,671
Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 .

Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto.

Tukio limetokea huko Dodoma
 
Lawama zote kwa bi chura kiziwi
GVmaFWbbgAAqkQ4.jpg
 
Binti anaefanya kazi za ndani huko Dodoma, miaka yake 16....amezaa mtoto kisha kamtupa chooni. Majirani baada ya kusikia sauti ya mtoto chooni wakatoa taarifa kwa boss wake.

Boss akawapigia jeshi la zimamoto na uokozi wakaja kumuokoa, mtoto amekaa chooni siku tatu....kwa sasa yupo hospitali ya rufaa Dodoma anaendea vizuri.
 
Hii nchi bwana ukisikia mbwembwe huyu afisa wa jeshi la kuzima moto Naibu kamishina Puyo Nzakayaimisi unaweza kujua ana uchungu na na matukio.
ila tukio lilotokea dodoma na ndio tukio lilotokea hapo mbona usemi kuhusu kauli ya askari fatuma kufanya ukatili wa wanawake unasema ukatili wa wanawake wasio na vyeo.
msemaji-1024x683.jpg
 
Tunamshukuru sana Rais samia kwa uokozi huo

Back
Top Bottom