Ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo 'Car wash' na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?

Gshtargets

Member
Sep 26, 2019
10
0
Asalaam alaikum.

Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
 
Asalaam alaikum.

Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash" . Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanzanayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
 
Kuna jamaa yangu aliniomba nimuulizie mashine ambayo ni kampuni ya Pioneer bei ikiwa 60000 ksh. Ngoja waje wajuzi watupe specification za kampuni nzuri na chagamoto zake
 
Ipo mashine flan hivi sijajua ni kampuni gani ila ina 7hp inauzwa laki 830000 kwa Soweto Mbeya pale.
 
NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
 
Back
Top Bottom