Ni lini John Cheyo na Prof. Lipumba watafanya mikutano ya hadhara?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,913
239,838
Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.

Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
 
Aisee mpaka nimeshtuka kuona haya majina

Hawa wazee hawalei wajukuu?
Ilibidi wawe wamestaafu na kuwa wanatoa ushauri tu ila majukwaa wayaache sasa
Umri umewatupa, ingawa kwa Africa mpaka haja ndogo ziwatoke na wengine bado wamo tu
 
Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.

Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
Sidhani kama watafanya mikutano hiyo kamwe🤔
 
Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.

Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
Mkuu naona unaujaribu kuuliza ni lini Kiwete atatembea!
Wana pesa za kuendesha mikutano!
 
Back
Top Bottom