Ni lazima shahawa zote ziingie ukeni ili kusababisha ujauzito?

linkedIn

Senior Member
Dec 20, 2014
151
55
Habari wakuu!
Kama swali lilivyouliza, Je wakati wa tendo la ndoa mwanamme anapomwaga shahawa zake ni lazima ziingie zote ukeni ili aweze kumpa ujauzito? Au kuna zingine huwa zinarudi nje na je ikoje hii katika kumpa mimba/ujauzito mwanamke!! Nawasilisha!!
NB: Nitafurahi sana nikijibiwa kitaalamu au na watu wenye uzoefu!!
 

Daah!! Ni kupuuzia jando na unyago au ni upungufu wa maarifa!! Miaka ya nyuma tulisoma hii darasa la sita (sijui mtaala wa sasa), ukiingia sekondari ndo kabisaaa!
 
elimu ya utombaji na kuzaa ni muhmu sana kwa hawa vijana..na sijui nani wa kuwapatia.watu wanajua ni kuchomeka tu na kukojolea unasubiri MP dates....shidaa!!!

bwana lzm ujipange kwanza jinsia ya mtoto..mtoto wa kiume hapatikani kindezi ndezi we mbwiga.....jiongeze.....apo nimekuongezea tu na jingine ambalo ulikua haufahamu....shahawa ata ya tako moja tu inatosha kubebea mimba..inategemea tu unatombaj.e
 
mchepuko embu lete style kupata mtoto wa kiume
 
Daah!! Ni kupuuzia jando na unyago au ni upungufu wa maarifa!! Miaka ya nyuma tulisoma hii darasa la sita (sijui mtaala wa sasa), ukiingia sekondari ndo kabisaaa!
Hapana,hujanielewa Ligogoma,nilimaanisha kuwa, baada ya tendo la ndoa zile shahawa ni lazima ziingie zote ndani ya uke ndipo mwanamke aweze kupata mimba, assume mbegu zako zote zina ubora sawa! Wewe umeeleza juu ya idadi ya mbegu zinazotakiwa kuingia kwenye yai kwa ajili ya kulirutubisha,siyo hicho nilichokuwa nakimaanisha mkuu,samahani!!
 
Mkuu,hakuna shahawa moja bali kuna mbegu 1,2,3,4,5…… Elewa kuwa mbegu hupatikana ndani ya shahawa na siyo shahawa ndani ya mbegu, swali ni Je,shahawa zote ni lazima ziingie ndani ya uke baada ya kumwaga wakati wa tendo la ndoa au kuna kiasi fulani huwa kinatoka nje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…