Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 49,624
- 72,490
Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye nguvu yakiupa umuhimu mkubwa uhalifu huo dhidi ya binadamu.