Haya mambo yanayosemwa ya makonda kuvamia ofis za clouds, haya mambo ya watu kutekwa na kuteswa je ni kweli hayafahamiki kwa waziri husika?waziri wa mambo ya ndani. Huyu ndo alikuwa mhusika mkuu wa kukemea na kutolea matamko mambo haya.
Ukimya wake ni ishara ya nini? Hajui nini kinafanyika?hajali nini kinafanyika?anaratibu kinachofanyika?ameamua kukinyamazia kinachofanyika?
Je makonda ameteuliwa kuwa mwanambuzi wa rais aichukuaye dhambi ya serikali?
"Ukimya nao ni jibu"