Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,935
- 39,770
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao ni Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje ambao inaonekana Mbowe HAWATAKI.