Ni kweli kuna muungano wa nchi mbili?

Crazy genius

Member
Apr 26, 2016
44
34
Leo tunaadhimisha siku ya muungano wa zanzibar na tanganyika kwa maoni yangu huu ni muungano wa ASP na TANU ili kupata CCM maana sijamuona rais wa Tanganyika ila kuna rais wa muungano nini maana ya muungano wa nchi mbili?
 
Muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili uko sawa na wa mke na mume ambapo wakioana wanakuwa kitu kimoja lakini kila mmoja ana nguo za tofauti na tabia tofauti na mwingine lakini kuna mambo yanayowaunganisha.
 
Hakuna muungano wowote,bali kuna nchi inatawaliwa na watu wenyekutegemea nguvu ya jeshi la nchi ya pili
Muungano wa kijeshi
 
Leo ni msiba mkubwa Kwa wanzanzibar
Tena mkubwa sana, ni siku ambayo heshima ya Zanzibar kama taifa imezikwa rasmi na watu wawili ambao wote hawana asili ya Zanzibar. Sote mungu katuumba sawa na huru. Anapokuja mbabe tena bila ridhaa ya watu wa nchi ndogo kuitawala kwa mabavu na kutumia sheria za " the law of the Jungle" kwa kivuli cha muungano ni uonevu. Lakini kuzidiwa nako kuko.
 
History of the formation of the United Kingdom

The complex evolution of the states of the British Isles. Those states evolved from the conquests and mergers of earlier states.
The formation of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland has involvedpersonal and political union acrossGreat Britain and the wider British Isles. The United Kingdom is the most recent of a number of sovereign states that have been established in Great Britain at different periods in history, in different combinations and under a variety of polities. Norman Davieshas counted sixteen different states over the past 2,000 years.[1]

By the start of the 16th century, the number of states in Great Britain had been reduced to two: theKingdom of England (which included Wales and controlled Ireland) and the Kingdom of Scotland. The once independentPrincipality of Wales fell under the control of English monarchs from the Statute of Rhuddlan in 1284. The Union of Crowns in 1603, the accidental consequence of a royal marriage one hundred years earlier, united the kingdoms in a personal union, though full political union in the form of the Kingdom of Great Britain required a Treaty of Union in 1706 and Acts of Union in 1707 (to ratify the Treaty).

The Act of Union 1800 united the Kingdom of Great Britain with theKingdom of Ireland, which had been gradually brought under English control between 1541 and 1691, to form the United Kingdom of Great Britain and Ireland in 1801. Independence for the Irish Free State in 1922 followed the partition of the island of Ireland two years previously, with six of the nine counties of the province of Ulsterremaining within the UK, which then changed to the current name in 1927 of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland.

In the 20th century, the rise ofWelsh and Scottish nationalismand resolution of the Troubles in Ireland resulted in the establishment of devolvedparliaments or assemblies for Northern Ireland, Scotland and Wales.

Background

Formation of the Union

The "disuniting" of the United Kingdom

Notes
 
Shida yko n mihemuko ndo maana unaongea usichokijua
 
Shida yko n mihemuko ndo maana unaongea usichokijua
Naongea ninachokijua. Kwanza - ni mzanzibari kindakindaki ( sio wakuja) Mtumbatu, kirembwe cha Malkia Mwana wa mwana. Pili siamini kutawaliwa na kuiangamiza mila, desturi, imani na utu wangu kwa mtu asiekuwa na utu, huruma wala imani
 
Muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili uko sawa na wa mke na mume ambapo wakioana wanakuwa kitu kimoja lakini kila mmoja ana nguo za tofauti na tabia tofauti na mwingine lakini kuna mambo yanayowaunganisha.
mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…