Nakubaliana na hotuba aliyo itoa Makamu wa Rais dkt Philipo mpango alipokuwa akihutubia wafanyakazi katika maadhimisho ya Mei mosi 2024 Jijini Arusha.
Vita vinavyo endelea katika mataifa hayo vimepelekea bei za mafuta kupanda na hivyo kuathiri uchumi wa kila nchi duniani.
Hoja hiyo ni ya kweli na ipo wazi kabisa, hakuna haja ya kujifanya kuwa hatuoni kinacho endelea duniani.
Kinacho takiwa kwa sasa ni kuwa wavumilivu.
Pia naishauri Serikali kubana matumizi yake. Hakuna haja ya kufanya masemina yasiyo yalazima, misafara ya watu wengi, matumizi yasiyo yalizima ya Magari ya serikali, matibabu ya viongozi nje ya nchi, n.k. n.k
Serikali ibane matumizi kwa viongozi na watendaji wa Serikali, tusifuje fedha za umma.
Kazi ilendeleee....