pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,642
- 6,269
Kwa nini wazee wa chama wanamuamini sana Magufuli wakati partners wengi wa chama hawamuamini??CCM ni Imara sana kama kimevuka salama 2015 usitegemee kitayumba 2016. Ccm chini ya Dr. Pombe itakuwa moto wa kuotea mbali hayo mengine ni michakato ya kisiasa tuna muda huu Mwenyekit wetu Jakaya yupo Kenya kumuwakilisha Rais Magufuli kwny Mazishi ya Mama Kibaki. Mnaotabiri mpasuko ni sawa na kutabiri Jua kuchomoza Magharibi!
Leta ushahidiKwa nini wazee wa chama wanamuamini sana Magufuli wakati partners wengi wanamuamini??
Maamuzi mengi ya JK yakipelekwa kwa wazee wa Chama yanatenguliwa kumfeva JPM, Swali ni JK si miongoni mwa mzee wa chama??
Nani yuko nyuma ya JK ndani ya chama, maana hata Kinana anaonekana kutofautiana sana na JK
Kwa nini wazee wa chama wanamuamini sana Magufuli wakati partners wengi wanamuamini??
Maamuzi mengi ya JK yakipelekwa kwa wazee wa Chama yanatenguliwa kumfeva JPM, Swali ni JK si miongoni mwa mzee wa chama??
Nani yuko nyuma ya JK ndani ya chama, maana hata Kinana anaonekana kutofautiana sana na JK
Jk kila mwenye mapenzi mema na Chama anatamani akikabidhi tu chama ajikalie pembeni.Hahaha! Endeleeni kunitengenezea direct questions! Dr. Jakaya akihutubia Singida Feb Mwaka huu alishatuaga wana ccm wenzake akatuambia June anaondoka na ataondoka Inshallah kwa heshma kubwa ya kutokomeza Mtandao wake uliotaka kurithishwa chama na nchi!
Bora yako umeona hili, wengi hawalioni.Fedha ni kisingizio tu, Wanaogopa kumpa Ngosha rungu la pili kwani hili moja tu alilo nalo anapiga mbaya sasa ukimpa la pili si ataua kabisa
Hahahaaa mkuu ...jamaa hawana namna...inawabidi wafe na tai shingoni...kifupi wanajutia kumfahamu ngoshaFedha ni kisingizio tu, Wanaogopa kumpa Ngosha rungu la pili kwani hili moja tu alilo nalo anapiga mbaya sasa ukimpa la pili si ataua kabisa
Hahahaaa mkuu ...jamaa hawana namna...inawabidi wafe na tai shingoni...kifupi wanajutia kumfahamu ngosha
Muafaka wa ile Bil 73 za ESCROW vipi?Hahaha! Endeleeni kunitengenezea direct questions! Dr. Jakaya akihutubia Singida Feb Mwaka huu alishatuaga wana ccm wenzake akatuambia June anaondoka na ataondoka Inshallah kwa heshma kubwa ya kutokomeza Mtandao wake uliotaka kurithishwa chama na nchi!
kilichobaki ni kujitoa ufahamu ili uteuliwe UDC ...atayeongoza kwa kujitoa ufahamu mitandaoni ndo anapewa hicho cheo .. duuh hali ni tete sana LumumbaNa kibaya zaidi wale wahindi mafisadi waliokua wakichangia chama hivi sasa wameweka mpira kwapani hawataki tena mechi lazma ukame upite hapo lumumba ngosha yeye yuko bize na wananchi
Muafaka wa ile Bil 73 za ESCROW vipi?