God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Huwaga natafakari sana hili jambo nakosa majibu.Roho ya kuchukia ipo moyoni mwa mtu mkuu... Uaminifu ni nusunusu siku hizi mkuu
Watu ndio walivyo wana roho za ajabuHuwaga natafakari sana hili jambo nakosa majibu.
Mimi naona watu wengine wanafurahia kuona wenzao wakilia tuu, hawapend kuona mtu baki smile na akismile ni dosari hivo they each and everything to destroy someones heart!
It's a thin line between love and hate, hell and the pearly gates...Ni katika pita pita zangu hapa JF nimeona wapenzi wengi wakirushiana lawama sio kwa wanaume wala kwa wanawake.
Ni kwanini hali imekua mbaya hivi? Kwa nini wapenzi wawe maadui badala ya kumalizana mahusiano yao kwa amani?
-Hii nafsi ya chuki kwanini inatawala mioyo ya wapendanao?
Halafu mkuu kiuhalisia ni pande zote wana roho mbaya kwan hata wanawake nao wanalia kinoma wengine wanaishia kutuita mashetaniWatu ndio walivyo wana roho za ajabu
Mkuu kama upo kichwani mwangu vile. Ndo tabia za wanawake yani baada ya kuolewa huwa wanajisahau kabisa.Kwenye mahusiano hakuna anayekubali kushuka, kila mtu anataka kuwa juu..usipojielewa kila siku mtagombana..for a simple research niliyofanya(japo sikulazimishi kuamini) nimegundua kuwa, wanawake wanapoingia kwenye ndoa na wakaizoea ndoa barabara huwa wana kawaida ya kuwapanda waume zao vichwani jambo ambalo wanaume hatukubaliani nalo!
Fafanua zaid mkuuIt's a thin line between love and hate, hell and the pearly gates...
Wanasema kuna mstari mdogo sana unaotenganisha mapenzi na uhasimu, mbingu na moto.Fafanua zaid mkuu
Nimekupata mkuu.Wanasema kuna mstari mdogo sana unaotenganisha mapenzi na uhasimu, mbingu na moto.
Mapenzi ni hisia kali ya kumuona mtu mzuri, yakigeukana kuwa mabaya yanaweza kirahisi sana kuwa hisia kali vile vile ya chuki kumuona mtu mbaya.
Halafu mkuu kiuhalisia ni pande zote wana roho mbaya kwan hata wanawake nao wanalia kinoma wengine wanaishia kutuita mashetani