wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,428
Nakumbuka hapo zamani niliwahi kuwa na rafiki yangu mpole sana, aliwahi kumfumania mazingira ya nyumbani dada yake na njemba nyingine kwenye nyumba ambayo haijakamilika (pagala), baada ya siku 4 nilisikia rafiki kampiga yule jamaa, wengi walistuka kwa haiba ya upole ya rafiki na kumuamini kwamba ilikuwa self defense lakini uhalisia ni revenge / kisasi,
kuanzia siku hiyo mpaka leo hamuheshimu dada yake, ndugu wanawashangaa lakini chanzo cha ugomvi wao ninakijua mimi.
Kwa wengine wapo wanaofumania mama zao wakichepuka, hawa nasikia huwa ni mara 10 zaidi, heshima yote hupotea, dharau zinazidi, hata mama afanye kipi ni ngumu kusamehe