GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 172
- 195
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
Halafu ukienda ofisini kwako pale wanakuambia jaribu kuingia halafu uje, ukiingia mfumo haufunguki masaa zaidi ya manne halafu ukirudi wanakuambia hawawezi kukusaidia hadi mfumo ukubali.
Sasa anayemiliki mfumo ni nani? Shida ya mfumo ikitokea nani anatakiwa kushughulikia? Halafu wao mfumo wao unatumika na watu waliosoma diploma tu ambao ni wachache, lakini mfumo wa kuombea mkopo wa bodi ya mikopo(HESLB) ambao una watu wengi kuliko mfumo wao wa kuombea AVN, mfumo wa HESLB ambao kuna wanaotoka form six, wanaomba mkopo wa diploma, masters n.k) Mfumo huo wa bodi haujawahi kusumbua na hata ukienda kwenye ofisi zao wanakusaidia haraka, ukifika unataja index number wanaingia wanaona kila kitu ulichojaza halafu wanakusaidia.
Inamaan kama kuna mtu alikuwa na ndoto za kuendelea kusoma mwaka huu wanazimwa ndoto zao na NACTVET kwa sababu mfumo wa AVN number haufanyi kazi. Leo ndio mwisho wa kuomba, ofisini kwao nimeshindwa kupata msaada.
Na bosi wao NACTVET bado yupo ofisini hajatumbuliwa. Inatia sana hasira, naombeni ushauri nifanyeje?
Na kuhusu mfumo wao wa NACTVET kuwa chini zaidi na watu wachache(hasa wa diploma) zaidi kuliko mfumo wa Bodi wa mikopo ambao wakati unawatu wengi wakiwamo form six, diploma, degrees, masters, shida iko wapi wakati zote ni taasis za serikali?
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25