Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,585
- 3,403
Sote au wengi tunajua kwamba kuna mfumo unatumika kuficha maneno ambayo ni matusi mara nyingi kwa kugeuza herufi zote au baadhi ya herufi za tusi hilo kuwa nyota. Mfano mzuri ni kwenye subtitles za video mbali mbali au hata kwenye mitandao mfano humu Jamiiforums utaona kwa mfano neno KAMA ukikosea kwa bahati mbaya hapo mwanzo ukaanza kwa kuweka KU badala ya KA basi neno lako halitaonekana kwenye post yako badala yake utaona nyota nyota
Niliona pia kwenye simu kuna huduma ya kublock offensive words japo huku kwenye simu ni tofauti kidogo maana unachagua wewe maneno ya kublock hata kama siyo matusi ambapo meseji yoyote ikitumwa ndani yake kuna neno uliloliblock basi sms hiyo haiingii kwenye simu hiyo
Tuache huko hebu sasa tuone maneno ambayo yanazuiwa kudisplay kwa upande wa lugha mashuhuri ya kiingereza na hapa nijikite katika subtitles za movies. Maneno tuliyozoea kuona yanafichwa ni yale yaliyozoeleka kwenye English ya Kimarekani mfano nigger, shit, bullshit, bitch, na mengine. Swali langu ni kwa nini maneno mengine siyo matusi lakini hufichwa? Watumiaji wa king'amuzi cha Dstv watakuwa mashahidi ukiweka subtitles kwenye movies zao mule maneno kama God, Jesus, nk hutakaa uyaone