MAJIRA kama mnakumbuka walikuwa na domain yao, inasemekana walishindwa kuilipia ikazuiwa na sasa inauzwa kwa mwenye pesa yake, hapo nimewapa hint ndogo (usiulize juu ya mashaka ya mishahara n.k)
Raia Mwema
kuna na yale mengine yanaendea kwenye ruzuku maalum la sivyo nayo yako taabani :angry: