Fikra Angavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 301
- 105
Walioandika hivi vitabu walikuwa na akili za ajabu sana, kila walichosema kwa asilimia kubwa kinatokea.Ilitabiriwa...nyakati za mwisho upendo utapungua nakwisha kabisa....
Labda nimeliona hili kipindi hichi kutokana na muda wa mimi kujua mambo mengi. Ila kwanini siku hizi watu tumekua wabinafsi sana?
Kila mtu anajiwazia yeye tu na familia yake, hata ndugu imekua tatizo kusaidiana. Majirani sikuhizi hawa wakanyi watoto wa jirani mwenzake anapokosea au hata kufikisha taarifa kwa mzazi mwenzake juu ya tabia za mtoto zaidi ya kusema "shauri yake na wazazi wake" kwanini ?
Au ni kuigiza sana mambo ya tamaduni za kigeni na kuziona zetu hazifai kutokana na kulinganisha zao na zetu bila kuangalia mazingira hayaendani?
Je, ni elimu tunazopata ndio zinapelekea kuharibika kwa tabia?
Je, ni malezi ya wazazi wetu siku hizi hawachukui jukumu la kulea watoto kama inavyotakiwa au ni nini?
Au ni mimi tu ndio nawaza vitu havipo kama ninavyowaza?
Hali ni mbayaWhat you have said is very true .. Even my self I had to ask why things changed in the family? Sikupata jibu la maana sana.. But what I know from the Bible talks about the last days .... Inasema kuwa siku za mwisho tutaona vitu vingi visivyo vya kawaida ikiwemo kutokuwa na Upendo , mtoto kumshitaki mama yake , money divides a heart , selfish, ni mengi sana... So its very sad ... God helps us.. Thanks...
Walimu nao wanapata wakati mgumu sana, wakiwa discipline watoto wazazi hao ukikaa vibaya Mwalimu unaweza ukatamdikwa makondeUkimkanya mtoto wa mtu, mzazi wake anakujia juu. Watu wameamua kuachana nao.
Huyu shetani ni nani hasa mpaka kila kitu asababishe yeye!? So unataka kusema watu hawana makosa kila kitu shetaniNi kweli kabisa dunia imeharibika, naweza sema shetani amechukua nafasi kubwa sana kwenye mioyo yetu na kamwe shetani hapendi kuona wanadamu wanaishi kwa wema na upendo. Zamani jirani yako anakuwa kama ndugu lakini siku hizi imebadilika
Hii ndio selfish yenyewe pure, na wa kwako akifanya mambo ya ajabu hakuna wa kumkosoa maan watoto huwezi kushinda nao kila siku.Ukimkisoa tu mtoto wa mtu kesi inakuangukia akuuuu nadeal na wangu tu mie
Mimi nina jirani yangu huku Goba aisee tunaish kama ndugu, watoto wetu ni kama wetu sote.Ni kweli kabisa dunia imeharibika, naweza sema shetani amechukua nafasi kubwa sana kwenye mioyo yetu na kamwe shetani hapendi kuona wanadamu wanaishi kwa wema na upendo. Zamani jirani yako anakuwa kama ndugu lakini siku hizi imebadilika
ni mambo ya utandawazi hayo,Labda nimeliona hili kipindi hichi kutokana na muda wa mimi kujua mambo mengi. Ila kwanini siku hizi watu tumekua wabinafsi sana?