Bapalidako
Member
- Aug 6, 2024
- 79
- 165
kuna wimbi la watu kutekwa kalibu kila siku, lakini vyomba vya ulinzi na usalama ambavyo ni jeshi la polisi pamoja na selikali wako kimya, sijui sababu wahanga si wanachama wa CCM, na wote wanaotekwa ni wale wanaopingana na selikali kwa namna moja au nyingine, mfano yule kijana aliyechoma picha ya Rais kule mbeya
Inaonekana hawa wanayofanya haya wanajulikana na wanalindwa na jeshi la polisi, ni aibu kwa selikalini inayojinasibu Tanzania ni inchi ya amani huku kila siku watu wanatekwa na Kupotea na viongozi wamekaa kimya bila kutoa matamko yoyote,
Mimi naamini hata Viongozi wa dini ni wa kulaumiwa sababu hawa wanaotekwa ni waumini wao nao wamekaa kimya kama hayawahusu, haya tunayoyaona yalikuwa yanatokea kwa majirani zetu kipindi cha utawala wa Iddi Amini Dada lakini leo tunayashuhudia kwa macho yetu, hivi kweli selikali inaweza kuendelea kujinasibu kama Tanzania ni inchi ya amani?
Soma Pia:
Nini kifanyike, mimi ningeshauri chama cha CHADEMAa na vyama vya kutetea haki za watu ni heli wakaishitaki serikali hata kwenye mahakama za kimataifa maana ushahidi upo,wapo waliopokonyoko kutoka kwa watekaji wanaweza kueleza kilichowakuta, lakini kama selikali haina Msaada wowote ule kwa wahanga wa familia za waliotekwa na Kupotea.