MoroGent
Member
- Jan 10, 2018
- 79
- 315
Natumai mko poa Wakuu,
Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.
Kwa mfano;
Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?
Kazi kwenu wakuu.

- Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
- Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
- Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
- Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
- Akiniita MoroGent - Tumekutana JF