Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 260
Wanasema Rama Dee,Ben Pol ni wakali sana Wa mziki wa R&B.
Ni ipi tofauti ya mziki wa R&B na Bongo Flava.
RnB inakuwa vipi? Beats,lyrics zimekaaje? Upi utofauti wake na muziki mwingine wa kuimba.
Je kibongo bongo ni kina nani mpaka saivi wanafanya hiyo R&B?
#forgive me.