Ni ipi sera ya ITV kuhusu habari za kimataifa?

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
8,375
19,208
Wakuu habarini za jioni?

Nimekuwa nikufuatilia hiki kituo cha televisheni kwa muda mrefu ila sikuwahi kuwaona wakiwa na habari za kimataifa nje ya East na Central Africa.

Naona siku za karibuni wamekuwa wakiturushia matukio ya kinachoendelea Gaza katika habari yao ya saa 2 usiku, je huu ndo utaratibu mpya na watazamaji wao tuanze kufurahi kwamba rasmi watakuwa na segment ya habari za kimataifa nje ya east na central Africa?
 
Back
Top Bottom