Kwa ushauri yenu juu ya tatizo language ya bleeding! Nilienda hospital nikapewa dawa dydrogestorone tablets nimetumia kama Siku 4 nikaingia(bleed)na dozi niliambiwa nitumie Siku 30!
Sasa kuna haja kuhacha kutumia dawa hizo kwasababu tatizo langu limetatuliwa au niendelee kumaliza dozi?wataalamu nawasubiri kwa ushauri yenu!mwageni points