Ni heri ya kuitwa mwanaume suruali kuliko kuitwa mwanaume jina

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Niheri kuitwa mwanaume suruali kwa maana "huna hela" kuliko kuitwa mwanaume jina "huwezi mambo kitandani".

Asikwambie mtu ukiwa na uwezo mzuri kitandani unakua na heshima iliyotukuka mbele ya hawa dada zetu.

Amani ya moyo inakuwepo na zaidi unakua full confidence, asikwambie mtu kumkojoza mtoto wa kike mara tatu kabla hata ya kuingiza dushelele ni ushindi mkubwa katika tasnia ya mapenzi.

Fanya yote, mpeleke sijui beach, sijui Mlimani City sijui Samakisamaki kama utakua mwanaume JINA itakuwa ni kazi bure tu.
 
Kumbe inawauma kama wanawake wanavyoitwa single maza(utadhazani mimba kajipa mwenyewe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…