Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Bila shaka wanaishi nyumba ya urithi.Watakuwa wana tabia ya kupakua bila ruhusa...Du,litakuwa pilau la mwaka mpya..
Kama ni hivyo basi ni uchoyo wa kiwango cha lami.Uchoyo
Tena urithi kutoka kwa Baba kwa watoto wa Mama tofauti.Bila shaka wanaishi nyumba ya urithi.
ulinzi shirikishi
Siyo jambo la kucheka bali tuwaombee hawa watu waache kufarakana
Kama mali ya mjerumani vile!Wajanja hapo wanasubiri kimeiva wanasepa na sufuria lote wanaenda kuvunjia mbele!
Kabisa kabisa.ulinzi shirikishi
Umeona mbali mkuu, hapo lazima kila uzao uwe na masharti na tabia zake.Tena urithi kutoka kwa Baba kwa watoto wa Mama tofauti.
Huo uchoyo ndugu
Haya tufunge macho tuombeSiyo jambo la kucheka bali tuwaombee hawa watu waache kufarakana