kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,981
Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa.
Maisha yamekuwa ghali kinoma
Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi.
Lakini kila kukicha Kama hapa Canada
serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu wanateseka na ugumu wa maisha.
Ila Mimi ninacho jiuliza hivi uko ukrain kuna nini Yaani mbona nchi za ulaya na marekani wanapambana saana kusaidia ukrain uku wananchi wao wakilalamika na ugumu wa maisha.
Yeyote anaye jua mambo haya ya uchumi anaweza kunieleweshe.