Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia

Uchawa kibongo bongo
Kila jukwaa ni lazima muingize siasa? Jukwaa la siasa halitisho kufanyia siasa na humu mkaacha kwa ajili ya mambi serious? Nazani Melo pia hakuwa mjinga kuweka aina nyingi ya majukwa, shida wajinga sasa kama nyie kila sehemu ni siasa, mkisha kuwa mmeshiba Chai Vitumbua na mnamilika smart phone mnawaza ujinga tupu asubuhi hadi jioni.
 
We fala nini maada kama hizi za page ya EASTAFRICA RADIO huko Facebook ndo aje kututishia nazo. Ni mada za kitoto tu.. Unaposema biashara gani inalipa si inategemea na mahali ulipo unataka nipo nanjilinji linji nimwambie afungue message Centre.. Biashara zote, inalipa ndo maana zinaendelewa kufanywa.
 
Zezeta kama zezeta, shida hujitambui kama wewe ni zezeta, hio ndio shida
 
Naina watu mnaumiza Sana vichwa unaangalia mtaji unao hata 5M. Lakini uhakika Wa kupata faida 30,000 ya uhakika pasipo presha yeyote Hauna.

Kuna project ambayo inakuwezesha kupata faida ya 400% ya ulichowekeza kwa MDA Wa miezi 12. Let's say umewekeza 5M maana yake baada ya mwaka mmj unakuwa na 20M. Ambayo security yake na uhakika ni 100%. Kama utaitaji kufahamu zaidi unaweza kunicheki kwa namba 0746785704,0628354523. Nipo Dar. Ofisi za huo mradi zipo Dar pia. Karibu.
 
Back
Top Bottom