Asante sana nashukuru mkuuMkuu habari vipi, hapo sasa inategemea na budget yako. Kuna makabila ya betry za magari zinapatikana kariakoo na kuna makabila ya betry hayapatikani kariakoo yanapatikana kisutu kule.
Hizi za kkoo ndio kama ulizotajiwa hapo juu na nyingi ni za Kichina na bei yake imepoa na hazina guarantee ila hizi za kisutu ni makabila kama amaron, liveguard, wavta nk na unapewa na guarantee ila bei yake imeamka kidogo na ukienda na betry yako ya zamani unapunguziwa bei.
Kila la heri mkuu.
Habari wandugu,
Naulizia betri nzuri kwa gari Tajwa hapo juu na gharama zake.
Sijawahi kubadili betri toka imefika.