Ni aibu lakini hakuna jinsi

madala mujipa

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
1,417
860
Salaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu

Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo

Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro

Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja

Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile

Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo

Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda

Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani

Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama

Assanteni mjumbe hauwawi
 
DAAH kweli leo umetuamria asee yan dume zima linazamishiwa dole gumba matakoni afu linasema eti MWANZONI NILIJUA KAKOSEA kama sio kunogewa ni nini???
Afu linasema eti KUMWACHA NASHINDWA ushanogewa wewe manake mbn washindwa kumkemea....au ushaharibiwa kwa TRUMP NN?????
 
Kama kidogo unakweli mkuu
 
Kanogowa!!! Ndo tatizo la kuingia katika uhusiano usioweza kutoka!!! Ni mateso kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…